KBBL 99 Online Radio na MAWIMBI RADIO ni sauti ya pwani kutoka Malindi, Kenya hadi ulimwenguni, Sisi ni Redio ya jamii inayolenga kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha, Tunakuletea habari za pwani , muziki wa Bongo Flava, Afrobeat, Mijikenda,Taarab, michezo ya afya, utamaduni, mahojiano ya vijana, wanawake na wavuvi. Lengo letu ni kuunganisha jamii ya Malindi na Wakenya wote kote duniani kupitia mawimbi ya matumaini na mshikamano. Sikiliza LIVE masaa 24 kila siku kutoka Malindi.